1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi: Burundi kupambana na vikosi vya Umoja wa Afrika

Bruce Amani Alakonya30 Desemba 2015

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ametishia kupambana na vikosi vya Umoja wa Afrika vya kulinda amani vitakavyolazimishwa kuingia nchini humo. Ni matamko yanayoashiria kuwa mzozo huwo wa kisiasa utaendelea kuongezeka. Zaidi ni kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya kisiasa Jenerali Ulimwengu akiwa Tanzania.

https://p.dw.com/p/1HWEc