1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa nafasi ya ugavana Mombasa waendelea

Halima Gongo29 Agosti 2022

Wakaazi wa kaunti ya Mombasa wamejitokeza kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura ili kumchagua gavana mpya. Kura hiyo inafanyika baada ya kuahirishwa wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 9 Agosti kutokana na hitilafu kwenye makaratasi ya kupigia kura. Sikiliza ripoti ya Halima Gongo kutoka Mombasa, pwani ya Kenya.

https://p.dw.com/p/4GB4s