1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tuhuma za uchochezi wa fujo dhidi ya Chadema

Saumu Ramadhani Yusuf1 Machi 2016

Uchaguzi wa Meya wa jiji kuu la Dar es Salaam, Tanzania bado ni kitendawili, kukiwa na hali ya sintofahamu kati ya pande zinazowania kuchukua uongozi wa jiji hilo. DW ilizungumza na kaimu Katibu mkuu wa Chadema Salim Mwalimu

https://p.dw.com/p/1I4ee