1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa Kenya: Uhusiano wa Kenya, Tanzania kusalia imara

16 Agosti 2022

Nchini Tanzania kumekuwa na mjadala mkubwa unaoendelea kuhusiano na matokeo ya uchaguzi wa urais wa Kenya huku wengi wakisema wakati jirani yao huyo wa kaskazini akisubiri kuwa na rais mpya, uhusiano wa kidiplomasia na kidugu wa mataifa hayo mawili hautarajiwi kuwa na mabadiliko makubwa. Sikiliza ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4FamS