1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa DRC bado kitendawili

21 Desemba 2018

Kuahirishwa kwa uchaguzi wa DRC, Viongozi wa vyama 6 vya upinzani Tanzania watoa azimio la kuilinda demokrasia pamoja na kurejeshwa rumande wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania ni miongoni mwa yaliopewa nafasi kubwa katika kipindi cha matukio muhimu ya Afrika kwa juma zima. Zaidi msikilize Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/3AVD3