1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi ACT-Wazalendo: Baadhi wajiengua chamani

31 Januari 2022

Chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kimemchagua Juma Duni Haji kuwa mwenyekiti wake mpya kuziba nafasi ya marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. Lakini kumeibuka malalamiko kutoka kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaosema kuwa zoezi la uchaguzi huo halikufanyika kwa njia huru na ya haki. Bruce Amani amezungumza na katibu mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu juu ya malalamiko hayo.

https://p.dw.com/p/46J34