1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubunifu: Pikipiki inayotumia betri za laptop Kenya

Hawa Bihoga
29 Juni 2023

Mwalimu Paul Waweru kutoka huko kyambuu nchini Kenya, amebuni pikipiki zinazotumia betri kuu kuu za komyuta. Amerahisisha usafirishaji wa hapa na pale na kupunguza gharama za dereva pikipiki wanaofanya biashara ya usafirishaji, lakini kinara katika utunzaji mazingiraa.

https://p.dw.com/p/4TDk6
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio