1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubunifu Afrika Mashariki

Veronica Natalis
15 Juni 2022

Jukwaa la ushirikiano wa kielimu kati ya sekta za umma na binafsi Afrika Mashariki, limesema ipo haja ya kuongeza nguvu ya ufadhili kwa wabunifu hasa vijana ili kuwa na maendeleo endelevu ya kiuchumi barani Afrika. Makala yetu leo inatazama juhudi za kuwasaidia wabunifu Afrika Mashariki. Isikilize makala yetu leo iliyoandaliwa na Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/4Ck1n