1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubora na manufaa wa mti wa Muarubaini

Faiz Musa / MMT27 Novemba 2020

Miongoni mwa miti inayotajwa kuwa na manufaa mengi hata kiafya ni Muarubaini. Mti huu una umaarufu mkubwa Afrika Mashariki na kwingineko hasa kutokana na matumizi yake kama dawa ya kiasili na mengineyo. Faiz Musa anaangazia mengi zaidi kuhusu mti huo kwenye makala ya Afya Yako

https://p.dw.com/p/3ltkH