1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uber yasitisha shughuli zake Tanzania

14 Aprili 2022

Kampuni ya kimataifa ya usafiri kwa kutumia mtandao, Uber, imesitisha huduma zake nchini Tanzania kuanzia leo Alhamisi. Kampuni hiyo iliyoanza shughuli zake katika jiji la Dar es Salaam tangu mwaka 2016 imesema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na kutoridhishwa na masharti mapya yaliyowekwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra). Msikilize George Njogopa.

https://p.dw.com/p/49wc5