1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uasi wa kiraia Sudan waingia siku ya pili

Sylvia Mwehozi
10 Juni 2019

Kwa siku ya pili mfululizo maduka na biashara vimeendelea kufungwa katika mji mkuu wa Khartoum katika vuguvugu la uasi wa kiraia lililoanza siku ya Jumapili. Kurunzi

https://p.dw.com/p/3K8df