1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uandikishaji wapiga kura wakumbwa na vikwazo Zanzibar

Josephat Charo
2 Machi 2020

Uandikishaji wapiga kura kisiwani Unguja unaendelea kwa changamoto kubwa. Baadhi ya raia wamesema wanashindwa kupata vitambulisho vya kupigia kura kutokana na kukosa vitambulisho vya ukaazi vinavyotumika kuhuisha taarifa zao kwenye daftari la wapiga kura.

https://p.dw.com/p/3YkqT