1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uamuzi wa mahakama kuhusu CAG wa Tanzania umepokelewaje?

Frank Maier6 Desemba 2022

Mahakama Kuu ya Tanzania imesema uamuzi wa kumwondoa katika utumishi wa umma aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ulikiuka katiba. Babu Abdalla amezungumza na mkurugenzi wa utetezi na maboresho katika Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania LHRC Fulgence Masawe.

https://p.dw.com/p/4KWrE