1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tweet za Jenerali Muhoozi Kainerugaba zazusha hasira Kenya

John Juma4 Oktoba 2022

Ujumbe kwenye Twitter wa kamanda wa jeshi nchini Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni mwana wa rais Yoweri Museveni wa Uganda kwamba itamchukua yeye na jeshi lake wiki mbili kuukamata mji wa Nairobi, umezusha shutuma nyingi miongoni mwa rai ana hata viongozi si Kenya pekee bali hata Uganda kwenyewe. John Juma amezungumza na George Musamali kuhusu jumbe hizo na maana yake.

https://p.dw.com/p/4HiaL