1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tunapataje maji baridi ya kunywa?

Michael Kwena MMT17 Machi 2021

Ukame na joto kali unawafanya wakazi wa Turkana kubuni njia mbadala ya kujihakikishia wanapata maji ya baridi, maana hali hiyo hufanya hata maji ya bomba kuwa ya moto. Kwenye makala haya ya mtu na mzingira, tunaangazia wanafanya hawa wakazi wa Turkana kujipatia maji ya baridi pamoja na changamoto waliyonayo? Sikiliza hapa, hakika utajifunza kitu.

https://p.dw.com/p/3qjLJ