1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya uchaguzi Kenya yatoa ripoti ya uchaguzi

Thelma Mwadzaya (HON)16 Januari 2023

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC imeiweka bayana ripoti yake ya mwisho. Makamishna watatu waliokuwa wamesalia wanajiandaa kufungua ukurasa mpya baada ya miaka 6 ya kuwa kwenye tume hiyo. Watatu hao walianza kazi Januari 2017 pamoja na wengine 4 waliojiuzulu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huo.Thelma Mwadzaya alituarifu zaidi kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4MGYr