1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapambano dhidi ya ufisadi Kenya

23 Oktoba 2024

Ripoti ya hivi karibuni ya EACC inaonyesha kuwa Wakenya sita kati ya kumi wanaona ufisadi kuwa tatizo kubwa. Kesi za kuondoa madarakani magavana na viongozi wengine wa kaunti zimeongezeka.

https://p.dw.com/p/4m94S