1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya uchaguzi yatoa sababu za kulechewa matokeo Kongo

4 Januari 2024

Tume ya Uchaguzi nchini Kongo CENI ilitarajiwa kutangaza matokeo ya uchaguzi wa bunge Jumatano (03.01.2024), zoezi ambalo halikufanyika. Kumekuwa na minong'ono juu ya kushindwa huko, baadhi wakitaja kuwepo kwa mvutano ndani ya vyama tawala. Kupata picha halisi juu ya hilo, Tatu Karema amezungumza na Naibu Mwenyekiti wa CENI, Didier Manara na kwanza alikuwa na haya ya kusema.

https://p.dw.com/p/4aqvH