1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tulia Ackson ashinda urais wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU

Saleh Mwanamilongo
27 Oktoba 2023

Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson amechaguliwa kuwa raisi wa 31 wa Umoja wa Mabunge Duniani, IPU, katika kikao cha Baraza la Uongozi wa muungano huo kilichofanyika mjini Luanda, nchini Angola hii leo. Tulia ndiye mwanamke wa kwanza wa Afrika kushika wadhifa huo. Akizungumza baada ya ushindi wake, Dkt. Tulia amesema

https://p.dw.com/p/4Y7pN