1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tukio la kunusurika kifo Trump limebadili siasa Marekani?

15 Julai 2024

Rais wa zamani wa Marekani na mgombea urais katika uchaguzi wa mwezi Novemba Donald Trump anatarajiwa kuidhinishwa rasmi kuwa mgombea wa urais kupitia tiketi ya Chama cha Republican siku mbili tangu Trump aliponusurika kifo katika shambulio la risasi. Bakari Ubena amezungumza na Profesa David Monda, na kwanza ameuulita tukio hilo limebadilisha vipi sura ya kisiasa.

https://p.dw.com/p/4iJfG