1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tshisekedi: Mikataba ya uchimbaji madini itathminiwe upya

Saumu Yusuf13 Septemba 2021

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi ameagiza mikataba yote ya uchimbaji madini iliyofikiwa chini ya utawala wa mtangulizi wake Joseph Kabila na makampuni ya China itathminiwe upya. Saumu Mwasimba amezungumza na mwandishi wa DW Salehe Mwanamilongo kuhusu hatua hiyo na maana yake katika uhusiano baina ya nchi hiyo ya Kongo na China. Na kwanza alikuwa na mtazamo ufuatao.

https://p.dw.com/p/40FZO