1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tottenham yatia munda uhamisho wa Kane kwenda Bayern

Josephat Charo
10 Julai 2023

Klabu ya Tottenham yakataa ofa ya pili ya Bayern Munich kutaka kumsajili mshambuliaji Harry Kane huku beki wa kati Luca Hernadez akihamia klabu ya Paris Saint German katika Ligue 1. Wolfsburg yaanza mazoezi kujinoa kwa msimu mpya bila kocha wao Niko Kovac.

https://p.dw.com/p/4Tgmo