1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tetemeko la ardhi Morocco: Juhudi za uokozi zaendelea

11 Septemba 2023

Juhudi za uokozi kuwapata manusura wa tetemeko kubwa la ardhi nchini Morocco zinaendelea. Zaidi ya watu 2,100 wamethibitishwa kufariki kufutia tetemeko hilo la ukubwa wa 6.8 kwenye kipimo cha Ritcher.

https://p.dw.com/p/4WD9T