1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tayyip Erdogan arudi madarakani

25 Juni 2018

Wananchi wa Uturuki wamrudisha madarakani rais Tayyip Erdogan kupitia uchaguzi uliofanyika Jumapili ambapo pia chama chake cha kiislamu cha AKP kimepata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 200. Mgombea mkuu wa urais kwa tiketi ya chama cha upinzani cha CHP Muharrem Ince amekubali kushindwa na kumtolea mwito Erdogan awe rais wa Waturuki wote

https://p.dw.com/p/30Dbt