1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tawi la vijana Chadema-Bavicha lapata viongozi wapya

11 Desemba 2019

Tayari Baraza la Vijana Chadema, BAVICHA, limepata mwenyekiti wake baada ya John Pambalu kuchaguliwa kuliongoza tawi hilo la vijana. Pambalu ambaye kwa sasa ni diwani wa kata ya Butimba, Mwanza na aliyewahi kuwa makamu mwenyekiti wa BAVICHA ataliongoza baraza hilo kwa miaka mitano ijayo.

https://p.dw.com/p/3Uajb