1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tathmini ya miaka 4 ya salamu ya heri ya Kenyatta na Odinga

John Juma9 Machi 2022

Miaka minne sasa tangu salamu hizo za kheri kati ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa chama cha upinzani ODM Raila Odinga, yapo mengi yaliyotajwa kuwa mafanikio. Lakini kwa upande mwingine kuna malalamiko kwamba salamu hizo zilisambaratisha uhusiano kati ya rais na naibu wake William Ruto na hata kusababisha migawanyiko zaidi kisiasa.

https://p.dw.com/p/48Dc3

Tunayaweka hayo na mengine mengi kwenye mizani. John Juma amemhoji mchambuzi wa siasa Javas Bigambo anayeanza kwa kutoa tathmini yake.