1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tathmini ya haki za binadamu Tanzania

Florence Majani11 Novemba 2021

Ilikuwa ni Novemba 5 mwaka huu, siku ambayo Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, lilipofanya mkutano wa kujadili hali ya haki za binadamu nchini Tanzania na nchi kadhaa zilipata fursa ya kutoa mapendekezo kadha wa kadha yanayotakiwa kufanyiwa kazi na Tanzania. Sikiliza makala ya Mbiu ya Mnyonge na Florence Majani.

https://p.dw.com/p/42rWl