1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tarifa ya Habari za Asubuhi - 05.07.2019

5 Julai 2019

Baraza la Kijeshi Sudan lakubaliana na waandamanaji kuhusu kuundwa kwa serikali ya mpito. Wanasayansi wasema upandaji miti kwa kiwango kikubwa unaweza kuzuwia mabadiliko ya tabianchi. Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa aishutumu Venezuela kwa mauaji ya kinyume cha sheria.

https://p.dw.com/p/3LbwM