1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tarehe : 09.08.2017-Taarifa ya habari asubuhi

Isaac Gamba
9 Agosti 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Trump aionya tena Korea Kaskazini akisema iwapo itaendelea na vitendo vyake vya uchokozi basi itakabiliwa na hatua kali ambazo hazijawahi kushuhudiwa// Matokeo ya awali ya uchaguzi nchini Kenya yaonyesha Rais Uhuru Kenyata anaongoza// Rais Jacob Zuma ashinda jaribio lingine la kutaka kumuondoa madarakani.

https://p.dw.com/p/2hvLJ