1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yazindua Jukwaa la mtandao wa chakula barani Afrika

George Njogopa (HON)17 Machi 2023

Tanzania imezundua rasmi Jukwaa la mtandao wa chakula barani Afrika lenye lengo la kuimarisha mifumo ya chakula la kilimo barani humo,huku Rais Samia Suluhu Hassan akibainisha namna atakavyoweka mkazo kuipiga jeki sekta hiyo ili kuwavutia vijana wengi na wanawake. Jukwaa hilo huwakutanisha makundi ya kada zote kumulika mazingira ya ukuzaji wa sekta ya kilimo na chakula. George Njogopa alituarifu

https://p.dw.com/p/4Or3x