1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yatangaza vipi vivutio vyake vya utalii?

Deo Kaji Makomba/MMT14 Septemba 2021

Kwenye kipindi cha Kinagaubaga safari hii utasikia mbinu ambazo Tanzania inatumia kunadi vivutio vyake vya utalii ulimwenguni ikiwa ni pamoja na rais mwenyewe kurekodiwa na kushirikishwa kwenye filamu. Deo Kaji Makomba anamhoji msemaji wa serikali Gerson Msigwa.

https://p.dw.com/p/40IlP