1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yapata mkopo wa IMF wa kuukomboa uchumi wake

8 Septemba 2021

Shirika la Fedha Duniani(IMF) limetoa mkopo wa dharura unaokaribia dola za Marekani milioni 600 kwa Tanzania kwa ajili ya kukabiliana na janga la virusi vya corona, kama vile kufufua uchumi wake ulioporomoka. Isikilize ripoti ya George Njogopa.

https://p.dw.com/p/40497