1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yakumbwa na uhaba wa mafuta

6 Aprili 2022

Bei ya mafuta nchini Tanzania imepanda maradufu nchini humo huku kukiibuka pia wasiwasi wa kuendelea kupanda kwa gharama za huduma nyingine kutokana na sababu hiyo hiyo ya kupanda kwa nishati ya mafuta. Msikilize mwandishi wetu kutoka Dar es Salaam George Njogopa.

https://p.dw.com/p/49X6E