1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yakanusha vikali kuwa na virusi vya Ebola

4 Oktoba 2019

Katika Afrika Wiki hii-Tanzania yakanusha vikali kuwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola baada ya nchi za Magharibi kuwatolea onyo na tahadhari raia wake walioko Tanzania na wanaosafiri kwenye nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Rais wa Tanzania azishutumu nchi za Magharibi kutumia mbinu za kibeberu kuzitia hila nchi za Afrika

https://p.dw.com/p/3QkYs