1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaipatia Uturuki msaada wa dola milioni 1

George Njogopa24 Machi 2023

Tanzania imeipatia Uturuki dola milioni 1 ya msaada wa kibinadamu kufuatia taifa hilo kukumbwa na janga la tetemeko la ardhi lilitokea hivi karibuni. Hatua hiyo imeibua mjadala mkubwa katika jamii huku baadhi wakionekana kupongeza lakini wengi wanahoji wakisema msaada huo unatolewa wakati maeneo mengi ya nchi yanakabiliwa na hali ngumu, kama vile uchakavu wa mashule, hospitali na mfumuko wa bei.

https://p.dw.com/p/4PAxK