1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaidhinisha ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda

21 Februari 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji nchini Tanzania, EWURA leo imekabidhi kibali cha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki, EACOP, katika halfa iliyohudhuriwa na Waziri wa Nishati, January Makamba. Grace Kabogo amezungumza na mtaalamu wa masuala ya nishati Walter Tosha Mezah kutoka jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4Nnjf