1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaapa kuwaadhibu wanaotumia vibaya mitandao

11 Desemba 2023

Baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania Dokta Philip Mpango kujitokeza hadharani baada ya taribani mwezi mmoja na kuonesha kusikitishwa kwake kwa kuzushiwa kifo mitandaoni. Leo Waziri wa Habari wa Tanzania, Nape Nnauye ameziagiza mamlaka kufanya uchunguzi kwa wote waliosambaza uzushi kwenye mitandao ya kijamii. Mwenzangu Sudi Mnette ameanza kwa kile wanachokisisitiza baada ya tukio hilo.

https://p.dw.com/p/4a0lb