1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Deo Kaji Makomba26 Aprili 2022

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba amesema muungano huo ulipoasisiwa watu wengi waliona kuwa ungelikuwa dhaifu. Imeelezwa kuwa mazungumzo ya awali ya kuunda muungano huo yalikuwa ya siri. Sikiliza ripoti hii ya mwandishi wetu wa Dodoma Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/4AT2V