1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Tanzania yawacharukia wasiovaa kwa heshima

24 Januari 2018

Huko nchini Tanzania serikali imewaonya wale wote wanaovaa mavazi yasiyo ya heshima hadharani na hata wanaoweka picha mitandaoni. Je kijana unaichukuliaje hatua hii? Lakini kwanza sikiliza makala haya ya Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/2rPaE