1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Uwekezaji Mdogo Unavyowanyanyua Wasiojua Kusoma

25 Juni 2020

Kutana na kundi la wakaazi wa Selela wilaya ya Monduli Tanzania wanatumia lugha ya picha ili kutunza kumbukumbu katika uwekezaji wao wa fedha, mbinu hii wameitaja kuwa msaada mkubwa katika kufikia malengo yao.

https://p.dw.com/p/3eKsa