1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya kuboresha taasisi za haki jinai yapokea maoni

Florence Majani20 Februari 2023

Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuteua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini humo, tume hiyo imetangaza kwamba tayari imeshakusanya kiwango kikubwa cha maoni yanayotoa mwelekeo mzima wa kuboresha mifumo ya haki. Sikiliza ripoti ya Florence Majani kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4NlD8