1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Ni kipi kilichokiukwa na spika Ndugai?

Amina Mjahid27 Januari 2022

Mahakama Tanzania inatarajiwa kutoa uamuzi Ijumaa kuhusu kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR Mageuzi James Mbatia kudai kwamba Job Ndugai aliyejiuzulu kama spika wa taifa hilo mwanzoni mwa mwezi Januari hakufuata utaratibu wa sheria wakati alipofanya hivyo. Anna Henga Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binaadamu Tanzania anachambua

https://p.dw.com/p/469U5