1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na mabadiliko ya sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU

Salma mkalibala/MMT13 Desemba 2019

Hivi karibuni Tanzania kupitia bunge ilifanya mabadiliko ya sheria ya usimamizi na udhibiti wa virusi vya Ukimwi na Ugonjwa huo. Sheria hiyo inamruhusu kijana wa kuanzia miaka 15 kupima VVU bila ridhaa ya wazazi. Kufahamu wasemayo vijana juu ya sheria hii ungana na Salma Mkaibala katika makala ya vijana tugutuke

https://p.dw.com/p/3Ukke