1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na hoja ya wapi alipo Rais Magufuli

15 Machi 2021

Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu amewataka Watanzania kutobabaishwa na maneno na huku akisema kwamba nchi iko salama. Lakini ameongeza pia kwamba hakuna wakati muhimu ambao watanzania wanatakiwa kushikamana na kuliombea taifa kama huu.Zaidi smsikilize mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri la Tanzania, Deodatus Balile alipozungumza na DW.

https://p.dw.com/p/3qefT

Matamshi ya Mama Samia ambaye pia amesema ni kawaida kwa binadamu kukaguliwa kiafya, yanajiri mnamo wakati maswali bado yanaulizwa kuhusu wapi aliko Rais John Magufuli na afya yake ikoje.