1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Muziki popote

27 Novemba 2020

Kutana na kundi la vijana linalofanya muziki kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam, Tanzania. Licha ya kujipatia rizki wanatumia fursa hiyo pia kukuza vipaji vyao. Ingawa wanapata changamoto kwenye shughuli zao, malengo yao ni makubwa. Msimulizi ni mwandishi wa habari 'anayeinukia' Hadija Halifa

https://p.dw.com/p/3lugj