1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mama ageukia ufugaji kuku baada ya janga la corona kuathiri kazi yake ya kawaida

6 Mei 2020

Kabla ya janga la corona kuanza, mwanadada kwa jina Mimi alikuwa na kazi yake ya kuwaendesha wanafunzi kuwapeleka shule na kuwarejesha nyumbani. Lakini kufuatia janga hili la COVID-19, shule zilifungwa na hivyo akakosa kazi. Maadamu mkono mtupu haulambwi alifikiria kuanzisha biashara na bndipo aligeukia ufugaji kuku. Hebu tazama kwenye Kurunzi ya Wanawake

https://p.dw.com/p/3cFrY