1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mahojiano na meneja wa kampeni za uchaguzi wa chama cha CCM

28 Oktoba 2010

Joto la kabla ya uchaguzi mkuu wa urais, bunge na madiwani huko Tanzania likipanda, ikiwa ni siku tatu zimebakia kabla ya siku ya uchaguzi, jumapili ijayo.

https://p.dw.com/p/PqSC
Watanzania watarajiwa kupiga kura hapo tarehe 31.Oktoba 2010Picha: DW

Wakuu wa kampeni za uchaguzi wa vyama mbali mbali katika uchaguzi huo wanatathmini vipi mambo yalivowaendea hadi sasa. Jee kunahitaji kutiwa gesi zaidi ili kufikia lengo la ushindi? Othman Miraji alimpigia simu Abdulrahman Kinana, meneja mkuu wa kampeni kutoka chama tawala cha CCM. Anajihisi vipi?

Mwandishi: Othman Miraji

Mpitiaji: Josephat Charo