1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mafanikio ya sensa yamekuwa makubwa

24 Agosti 2022

Mamlaka inayosimamia sensa ya watu na makazi Tanzania imesema kumekuwa na mafanikio makubwa katika siku ya kwanza ya zoezi hilo linaloendelea, yaliyovuka lengo la kuhesabu asilimia 15 ya kaya zote nchini humo - kwa siku. Kazi hiyo iliyoanza Jumatatu, imeendelea tena Jumanne na itadumu kwa muda wa siku saba. Isikilize ripoti ya George Njogopa.

https://p.dw.com/p/4FzSf