1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kwa nini intaneti kusuasua kipindi cha uchaguzi?

Saumu29 Oktoba 2020

https://p.dw.com/p/3kaaI

Katika kipindi chote cha uchaguzi Tanzania suala zima la ugumu wa mawasiliano na hasa wa mitandao limekuwa gumzo na wasiwasi unaozungumziwa na wananchi wengi ni kwamba hali hii huenda imetengenezwa ingawa mamlaka ya mawasiliano nchini humo haijawahi kusema lolote. Kutoka nchini Kenya tumezungumza na mtaalamu wa tecnolojia ya mawasiliano kutoka Nairobi Collins Mudi ambaye ametowa ufafanuzi wake kuhusu sababu zinazoweza kuwa chanzo cha kuporomoka kwa nguvu za mawasiliano.