1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kuwasilisha ripoti ya haki za binaadamu, UN

George Njogopa25 Februari 2020

Serikali ya Tanzania itawasilisha ripoti yake kuelezea hali jumla ya haki za binadamu nchini humo katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu unaoendelea Geneva, Uswisi. Ripoti hiyo itakuwa imemulika kipindi cha miaka minne iliyopita. Mwandishi wetu George Njogopa aliyeko Dar es Salaam Tanzania, alituarifu.

https://p.dw.com/p/3YPDT